REGISTER ROCK CITY MARATHON 2021
Rockcity Marathon has been taking place in Mwanza for 12 years now since 2009 when they started. Rockcity Marathon event has been a blessing to the Mwanza region and all of the other lake zone regions and Tanzania at large.
To register with us for the race please visit our bio and click on the link that will take you to our website or DM us for more info
ROCK CITY MARATHON]
or Call Us:- 0719710567
Rock City Marathon ni mbio zinazofanyika jijini Mwanza kila mwaka na huu ni msimu wa 12 tangu kuanzishwa kwa mbio hizi mwaka 2009. Rock City Marathon ni fahari ya Mwanza, fahari ya Mikao ya Kanda Ziwa na alama ya Tanzania.
Msimu huu unakuhusu wewe,Karibu tuungane pamoja ili kutangaza utalii kanda ya Ziwa.
Kujisajili nasi kwa kubofya link kwenye bio yetu iliopo katika ukurasa wetu wa instagram au tutumie ujumbe katika ukurusa wetu wa instagram kupata taarifa zaidi
ROCK CITY MARATHON]
au Tupigie simu:- 0719710567